SQM 1000 RING ROAD
TZS 6,500,000
Iyumbu Pazuri Sana, Ujenzi Wa Hapa Ni Wa Kisasa Zaidi a.k.a Ushuani, Maji & Umeme Mpaka Site, Hapa Pana Kiwanja Kizuri Sana Kinauzwa Ukubwa Wa kiwanja Square Meter 774, Bei milion 13.Wekeza Hapa Hakika Hutojutiaa 🔥🔥🔥