Search...

About This Listing

GARI INAUZWA - SUBARU FORESTER 2014

Bei: TZS 29,000,000

Tunauza gari aina ya Subaru Forester ya mwaka 2014 ikiwa katika hali nzuri sana, imepitia matengenezo yote muhimu na iko tayari kutumika.

Sifa za Gari:

Mwaka wa Kutengenezwa: 2014

Aina ya Gari: Subaru Forester

Hali: Imetumika lakini bado ipo katika hali bora

Bei: TZS 29,000,000

Jackson's Listings
View All Properties
Contact Property

Listing Title

Get Us Message