Rav4 for sale
TZS 16,500,000
GARI INAUZWA - NISSAN DUALIS
Bei: TZS 12,000,000
Tunauza gari aina ya Nissan Dualis, ikiwa katika hali nzuri sana. Gari hii imepitia matengenezo yote muhimu na iko tayari kutumika.
Sifa za Gari:
Aina ya Gari: Nissan Dualis
Hali: Imetumika lakini bado ipo katika hali bora
Bei: TZS 12,000,000
Kwa maelezo zaidi au kuona gari, tafadhali wasiliana nasi kupitia simu