About This Listing
- Title : CLEARING AND FORWADING SERVIRCE
- Price : TZS - 250,000
- Dated : 11.09.2024
- Located : Dar es Salaam
- Product Category : Office and Business
- Deal Type : For Sale
- Views : 199
DOTEL LIMITED tunatoa huduma ya clearing & Forwarding,
tunatoa huduma hii kwa ufanisi wa hali ya juu, ndani ya wakati lakini pia gharama zetu ni ndogo sana,
Gharama nyingine za mamlaka husika unaweza kulipia mwenyewe kadri ankara zinavyotoka.
Ukituchagua kuwa Clearing and Forwarding wako unakuwa na uhakika wa;
-Kuupata mzigo salama
-Hakuna kuibiwa vitu
-Hakuna gharama zisizo na msingi
-Hakuna gharama za uhifadhi (Storage Charges)
-Kuupata mzigo haraka sana (siku 3 tangu meli kushusha mzigo)
-Mawasiliano mazuri kipindi chote (simu itapokelewa muda wowote ukitaka kujua muendelezo wa kazi yako-progress)
-Tutakuletea mzigo wako (kama ni gari) ndani ya Dar es salaam bure! Nje ya Dar es salaam utalipia gharama ya dereva na mafuta.
Ikiwa umeagiza gari au mzigo wowote basi wasiliana nasi mapema tukufanyie kazi yako na uendelee kuwa balozi wa huduma zetu nzuri.
--------
Mobile/Text/whatsapp 0689265275
Office: Posta ,Samora Avenue , NHC House 9th Floor, Dar es salaam, Tanzania.
Instagram; www.instagram.com/dotellimited
Facebook; www.facebook.com/dotellimited
Twitter; www.twitter.com/dotellimited
Web; www.dotel.co.tz





